Sema nami.
Siku ya Jumatatu, ni siku ya sanaa ya lugha ya kwanza. Wengi wetu huiita lugha ya mama, wale ambao tumekuzwa na babu zetu tutaita vipi? Hii ndo maana, BAM CARES ARTMORE, kwa kujali nafsi ya kila mja huwa tunaita lugha ya kwanza.
Nafurahia lugha yangu ya Kwanza, Kinyore, Olunyole, ni lugha ambayo imenikuza hadi wakati huu. Siku ya leo, dunia inaposherehekea siku ya ushairi duniani, nafurahia kujiunga na dunia na ubeti mmoja katika lugha yangu ya kwanza.
Siku ya Jumatatu pia huwa siku ya kujirusha roho kwa minajili ya uponaji kwa wale ambao wana matatizo ya ki akili. Ugonjwa wa akili unaeza mkumba mtu yeyote, hivo tunaombwa sote tuwe na utu tunapokaa na wanadamu wenzetu.
Ni hayo tu kwa sasa.
Ma’am, naam
Naja kwa ujasiri
Nikiwa nimejistiri
Ma’am, naam
Tunaposherehekea siku hino
Tunengue chetu kiuno
Kwa furaha na bashasha
Ipokee hino bahasha
Siku yetu ya ushairi
Lazima tukariri
Ma’am, naam
Asanteni.
#NangaAtemo
Nanga ATEMO
Ndalatema kho butswa
Litukhu lefwe lino
Nanga ATEMO
Ndalatema kho butswa
Khwenuyanuya butswa
Nanga ATEMO
Ndalatema kho butswa
Khuandika amang’ana amalayi
Nanga ATEMO
Ndalatema kho butswa!
#NangaAtemoCrawlkneecalls
Call me Artmore
On this international world poetry day
I just want to dance more
On this international world poetry day
Call me Artmore
As I try more and more art this day
Call me Artmore
Artmore 😊
Similar Posts by The Mt Kenya Times:
- University lecturers’ strike cripples public institutions across Kenya
- Online gaming addiction: Children at risk as experts urge parental control
- Mt Kenya Times ePAPER October 26, 2026
- Sakaja challenges Kamukunji police over Eastleigh suspect bail
- Muturi demands binding livestreaming rules for 2027 polls to prevent repeat of 2022 chaos