Azimio La Umoja coalition presidential candidate Raila Odinga
By: Winnie Muhonja
Baada ya Raila kususia kuhudhuria kikao Cha mazungumzo ya wagombea wa kiti Cha uraisi hapa nchini Kenya .
Wapinzani wake wa karibu wamemsuta kwa kudai kuwa ameogopa na hivyo ashashindwa kwenye uchaguzi mkuu .
Kwa upande mwingine Raila amedai ya kuwa yeye hawezi simama kwenye ukumbi sawia na mpinzani wake ambaye ni mwizi huku akimrejelea naibu wa Raisi William Ruto ambapo haijaonekana kama sababu kuu.
Hii imeonyesha wazi kuwa yeye ni kibaraka Cha Raisi Uhuru Kenyatta kisa na maana yafaa afuate masharti yote anayopewa na kiongozi wake.
Similar Posts by The Mt Kenya Times:
- When home is no longer safe: Who is protecting Kenya’s children?
- Spain’s clinical 3-0 win ends Austria’s World Cup run
- New political dawn is rising …and Kenya is invited
- Beyond the job ticket: Rethinking education’s true purpose in an era of uncertainty
- Senegal’s parliament votes to curb presidential powers in constitutional shake-up