TOFAUTI I WAPI
By Β© Dokta Ziro π°πͺ
Punguani na razini,
Wote,
Tajiri na masikini,
Kote,
Walio juu na chini,
Tofauti i wapi ?
Wenye njaa na shibe,
Nyingi,
Wenye kupa na waibe,
Mingi,
Wanyonge na wababe,
Tofauti i wapi ?
Wahini na wahiniwa,
Kama,
Aibaye na kuibiwa,
Kama,
Heshimu waheshimiwa,
Tofauti i wapi ?
Lugari, Kakamega- KENYA.
I like your writing style truly enjoying this internet site.